Saturday, April 27, 2013

Kutana Na Mwanamke Mzuri Kuliko Wote Duniani Kwa Mwaka 2013

Huyu sio mwingine bali ni Malkia wa Saudi Arabian, aitwae Fatima Zohar-Godabari.

Fathima Kulsum Zohar Godabari ambaye awali alikuwa kwenye familia ya kifalme kwa sasa yeye ndie Malkia wa Saudi Arabia.
Hivi karibuni alipigwa picha bila kuwa amevaa niqab ikiwa imefunika uso wake, na picha hizo kuchapishwa kisha kusambazwa kwenye mitandao, zikionyesha uzuri wa sura yake duniani ikiwa ni mara ya kwanza.
Toka picha hizo zitoke, watu wengi wamekuwa wakimtaja kuwa ndiye mwanamke mzuri duniani kwa sasa.

Fanya kucheki picha zake:



Zake sifa tumpe...

1 comment: