Saturday, April 27, 2013

Omar Borkan: Uzuri Wake Ni Hatari Kwa Usalama Wa Wanawake Wa Watu (PICHA)

Jamaa ni muigizaji wa filamu, ambaye pia ni muandishi wa mashairi na mpiga picha wa fasheni, anaitwa Omar Borkan Al Gala (kwenye picha hapo juu)kutoka UAE, mmoja kati ya watu watatu waliofukuzwa kwenye tamasha la asili mapema mwezi huu nchini Saudi Arabia, kisha baadae waliondolewa kabisa nje ya nchi hiyo, huku sababu kuu ni juu ya muonekano wao unaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto wa kike.

Gazeti la moja la Kiarabu liitwalo Elaph limeandika: ‘Msemaji wa tamsha hilo amesema watu watatu toka Uarabuni wametolewa kwenye viwanja hivyo, ni wazuri sana  na mamlaka kwa ajili ya tamasha hilo ilihofia wageni wa kike wanaweza kuzama kwenye mapenzi nao.’








No comments:

Post a Comment