Tuesday, April 16, 2013
MEDIA DAY BONANZA YAFANA
Tamasha la vyombo vya habari limefanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar, likikukutanisha waandishi na wafanyakazi vyombo mbalimbali vya habari nchini.
Mbali na mengi kulikuwa na michezo na mashindano mbalimbali ambapo washindi walipewa zawadi na vikombe toka kwa wadhamini wa Bonanza hilo kampuni ya bia nchini TBL.
Bendi za Jahazi Modern Taarab na Extra Bongo zilipamba Bonanza hilo.
Pichani nikiwa na watu niliowahi kufanya nao kazi siku za nyuma kwenye kampuni Business Times na Times fm, toka kushoto ni Mi, Sia, Susaz na Fancy...!
What a beautful day...!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment