Tuesday, April 16, 2013
NI MWAKA TANGU KIFO CHA KANUMBA
Tarehe 7 April 2012 ni siku ambayo Tasnia ya Filamu nchini ilipata pigo ambalo jamii nzima wa Watanzania ilizizima, pigo ambalo pengo lake hakika ni kubwa na si rahisi kusahaulika.
Tarehe 7 April 2013 ni Mwaka mmoja tangu The Great STEVEN KANUMBA alipofarika.
Mazishi yake ni histori iliyoandikwa na yalidhihirisha kwa kiasi gani Kanumba alikuwa si tu ni The Great, bali ni kipenzi kikubwa cha Watanzania pengine kuliko wengi na kama sio wote kwenye kwenye hiyo ya Filamu.
R.I.P STEVEN KANUMBA 8 January 1984 - 7 April 2012.
Uliguswa kwa Kiasi gani na kifo cha The Great Kanumba..? Mwenyezi Mungu Amrehemu huko alipo..!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment