Queeneth Hilbert kwa Lake Pozi |
Queeneth Hilbert ndiye anayeaminika kuwa muigizaji mzuri kuliko wote miongoni mwa waigizaji wa kike watasnia ya muvi za Nollywood.
Msichana huyo nusu ni Mlebanon na nusu Mnigeria ambaye ni modo na muigizaji, licha ya kwamba sio maarufu kama alivyo Genevieve Nnaji na Omotola Jalade-Ekeinde, ila ni kivutio cha mamilioni ya mashabiki wa muvi kwa ushiriki wake wa kwenye muvi zaidi ya Ishirini za Nollywood zikiwemo muvi kama "Hearts on Fire", "Wife on Fire", "Brave Mind", "Hand of Fate", "Sins of the Past", "The Illiterate", "War in the Palace” na nyinginezo kadhaa.
Queeneth Hilbert na Chake Kisura |
Licha ya kwamba uzuri wa mtu ni mtu na lake jicho ila naye anastahili kuitwa mrembo miongini mwao au zaidi yao, huyu hapa muite Queeneth Hilbert.
No comments:
Post a Comment