Mashosti je kuna mmoja wenu anaweza kuwa mkali wa viwalo na kuweza kutokanje ya nyumba yake akiwa na kivazi kama hiki?
Mameni, mnaonaje aina hii ya uvaaji? Na je unaweza kukubali mpenzi wako atoke out akiwa na kivazi hiki?
Ni Ijumaa na wikiendi ndio inaanza, kwa watokaji ni moja kati ya kipindi ambacho ubunifu wa mavavi uhalalishwa na kuwa taaluma rasmi.
Sio wote waliovaa nguo wamependeza, kwa hapa bongo naamini ni robo ya idadi ya watu ambao hupendeza kwa mpangilio wa viwalo vyao.
Je wewe ni mmoja wao...?
Mwanamke ni pambo,sioni kama ni vibaya xana kujiachia ukiwa na mpenzi wako ila ukiwa pekee ni nuksi,hata vitabu vitakatifu vinasema ukitembea uchi mtupu mbele ya mkeo au mumeo si dhambi..
ReplyDelete