Tuesday, April 16, 2013

CHEZEA WACHINA

Mchina mmoja alimchukua kahaba na kwenda nae mpaka nyumbani kwake na wakaanza kufanya mapenzi.

 Alipomaliza, alishuka kitandani akaenda dirishani kupunga upepo kisha akapita chini ya uvungu wa kitanda na kutokea upande wa pili wa kitanda, kisha wakaanza tena kufanya mapenzi.

Alipomaliza raundi ya pili, akashuka tena kitandani na kwenda dirishani kupunga upepo kisha akapita chini ya uvungu wa kitanda na kutokea upande wa pili, wakaanza kufanya mapenzi kwa mara nyingine tena.

Alifanya hivyo mpaka raundi ya nane, yule kahaba akamuona jamaa ni noma.

Baada ya raundi ya kumi akaamua nae afanye kama ambavyo yule mchina alikuwa anafanya kila alipomaliza kupiga bao, nae akashuka na kwenda dirishani kupunga upepo kisha akapita chini ya uvungu wa kitanda ili atokee upande wa pili......., unajua nini alikikuta huko chini ya kitanda...?

Wanaume wengine kumi wa kichina wakiwa kama walivyozaliwa...!

HII IMESIMAMAJE...!

No comments:

Post a Comment