Nguruwe mwenye vichwa viwili amezaliwa nchini China mapema wiki hii.
Kwa mujibu wa AFP, nguruwe huyo alizaliwa April 10 kwenye kijiji kimoja kilichopo Jiujiang.
Mkazi mmoja wa kijiji hicho aliieleza AFP kwamb hiki ni moja kati ya vitu vya ajabu na aina hii ya wanyama huwa haina maisha marefu.
Imeelezwa kuwa aina hii ya uzazi inawezekana kutokea tena na hata kwa binadamu, ila mmiliki wa nguruwe huyo amekataa nguruwe huyo asiuliwe.
Miezi miwili iliyopita aina kama hiyo ya mnyama alizaliwa nchini Ghana..!
No comments:
Post a Comment