Hebu fanya kumcheki mwanamke huyu wa Kiarabu, ambaye ni Malkia wa
Saudi Arabia aitwaye Fatima Kulsum Zohar Godabari.
Muda mchache uliopita, dunia ilipata nafasi hadimu ya kuweza
kuuona uzuri wake, hii ni pale alipopigwa picha bila kuwa amevaa Niqab ambayo huwa anaivaa mara zote katika kuufunika uso wake.
Ngozi
yake, macho mazuri, lips na sura ya kipekee, Mungu wangu...!
Haya ni maajabu ya asili, kama vipi fanya kucheki picha zake zaidi hapo chini.
Je wewe unaafiki kwamba huyu ndio mwanamke mzuri kuliko wote duniani kwa sasa..?
No comments:
Post a Comment