Balotelli Na Demu Wake |
Kwenye gazeti la Kispanish liitwalo AS and Marca, mchezaji
huyo wa kimataifa wa Italia amenukuliwa akisema: ‘Kama Real Madrid watatoka nyuma kwenye mechi
hiyo ya Klabu Bingwa na kushinda, basi nitamruhusu demu wangu alale nao!’
alisema Balottelli.
Kwenye mechi iliyopita timu ya Dortmund iliikimbiza vibaya Real
kwenye mchezo uliochezwa ndani ya uwanja wa Westfalen, huku wachezaji wao kama
Robert Lewandowski, Mario Gotze na Marco Reus wakionekana kuisambaratisha
vibaya beki ya Real.
No comments:
Post a Comment