Aliyekuwa muwakilishi wa BBA toka nchini Kenya Huddah Monroe ameamua kuuwasha moto kwenye Instagram. Hapa kuna baadhi ya picha ya picha zake ambazo amezishea kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Na kabla hujakwazika, haya ndiyo aliyoyasema kama tahadhali juu ya picha zake: "Kama HAUNILISHI, sio MCHUMBA au KUNIT_A mimi, mawazo yako kuhusu mimi ni kitu kisichonihusu."
Angalia picha zaidi hapo chini...
No comments:
Post a Comment