Mchezaji nguli wa zamani wa timu ya Arsenal Thiery Henry juzi kati alimwaga chozi, na hii ni baada ya Klabu hiyo ya jiji la London kumpa heshima kwa kumtunuku Sanamu yake na kuiweka mbele ya uwanja timu hiyo.
Thiery Henry, Tonny Adams na Herbert Chapman wamepewa heshi na klabu hiyo kwa sanamu zao kuwekwa mbele ya uwanja wa Emirates, yote hayo ni katika kuthamini mchango wao kwa timu hiyo katika kipindi walichokuwa wakiitumikia.
No comments:
Post a Comment