Serena Akiwa na Bikini |
"Naweza kidogo kuwa muoga. Kabla nilikuwa, ‘Serena ana makalio makubwat,’ na hivyo ndivyo ilivyo. Sasa kuna njia ambazo watu hujihisi wako na uhuru zaidi na kisha husema, ‘Mimi ni mwanamke, na hivi ndivyo ninavyoonekana.’ Mara zote mimi huwa nasema, ‘Sisi ni watu tunaojulikana sasa! Hatimaye tupo kwenye mitindo!", mchezaji huyo wa tenisi alilieleza jarida la Essence.
Kava la Essence Magazine Mwezi Julai |
No comments:
Post a Comment