Wednesday, March 12, 2014
Je Fahari ya Mwanamke Kwenye Jamii Yetu Imepotea? Hebu Wacheki Wanafunzi Hawa [PICHA]
Kile ambacho tunakiona leo kinakuwa ni kitu tofauti; kwa maana baadhi ya wasichana wa vyuoni na wa shule za sekondari kwa miaka ya karibuni wamekuwa wakifanya vitu vya ajabu sana katika kile kinachowapumbaza kuwa ndiyo ulimwengu wa fasheni.
Binafsi nawasihi wazazi wote kuwa karibu na kuwafatilia watoto wao, sababu kuu ni moja wao ndio fahari ya maisha yenu ya baadae.
Cheki picha zaidi hapo chini...
Labels:
PHOTOS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment