Monday, February 24, 2014

'Watu Wazima Wanalipenda Umbo Langu'; Asema Mwanamke Mwenye Umbo Lenye Upana wa Futi Saba [PICHA]

Alikiri kuwa na matatizo machache kwenye shuguli zake za kila siku, moja wapo ikiwa ni kupita kwenye milango akiwa anataka kutoka au kuingia nyumbani kwao pamoja na namna ya kufunga mkanda akiwa kwenye gari.

Sio mwingine anaitwa Sarah Massey inayeaminika kuwa na makalio makubwa zaidi Duniani, makalio yenye na upana wa futi 7.

Mwanamke huyu mwenye miaka 33 na watoto wawili, toka Chicago nchini Marekani, huvaa suruali saizi ya 10XL.

"Baadhi ya wanaume hasa wa rika langu huwa hawavutiwi na mimi, ila wale walionizidi kama miaka kumi hivi hunipenda na kuvutiwa nami," alisema Sarah.



No comments:

Post a Comment