Monday, February 24, 2014

Picha za Vile Ambavyo Kim K, Rihanna, Beyonce, Lady Gaga na Baadhi ya Nyota Wengine Wangefanania Kama Wasingekuwa Maarufu [PICHA]

Kampuni moja ya ubunifu imejaribu kuangalia ni kwa muonekano gani baadhi ya nyota wakubwa Duniani wangefanania kama wasingekuwa mashuhuri na wenye hela, muonekano ambao mara nyingi umechagiwa na uwepo timu zao za kuwaremba kimitindo ya nywele, kufanyiwa upasuaji na aina ya mitindo ya mavazi na mengineyo wanayokuja nayo kukamilisha muonekano wanaoupata.

Timu hiyo ya ubunifu imetengeneza picha za baadhi ya nyota zikionyesha vile ambavyo wangeweza kufanania kama wangekuwa wakiishi kwenye Dunia ya mazingira ya kawaida.

Hebu wacheki na hawa hapo chini...
Kim Kardashian

Rihanna

David Beckham

Nicholos Cage

Lady Gaga

Justine Bieber

Tom Cruise

1 comment: