Monday, February 24, 2014

Samuel Sitta: Nitagombea Uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba kwa Sababu Naamini Kuwa Nina Sifa za Kutosha

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta alisema pamoja na propaganda chafu zinazoenezwa dhidi yake, hatakata tamaa na kwamba ataendelea na msimamo wake huo ili nchi ipate Katiba bora.

Mwingine anayetajwa kugombea ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.

CHANZO: Jamii FORUM

No comments:

Post a Comment