Sunday, February 16, 2014

Soma Alichojibu Lady JD kwa Ruge Juu ya Yeye Kukopa Ili Amalizie Kujenga Nyumba Yake [UJUMBE]

Kumekuwa na habari za chini chini zinazoeleza kwamba Ruge amekuwa akimsema Lady JD kwamba ameishiwa na kufirisika kimuziki, hii ni kutokana na kitendo chake cha kukopa kwenye moja ya taasisi ya mikopo inayosimamiwa na Ridhiwani iitwayo Social Credit Company.

Huu hapa ni ujumbe wa JD aliouandika kupitia ukurasa wake wa facebook kama majibu kwa Ruge.

Soma hapo chini...



No comments:

Post a Comment