Sunday, February 16, 2014

Kapo Ipi Unaikubali Zaidi kwa Nguvu na Mvuto Wake Kati ya Hizi...?

 Ni kapo ipi unaikubali na ambayo kwa binafsi yako unaiona ina nguvu na mvuto zaidi kati ya namba 1,2,3 na 4...? Unaweza taja majina au namba tu...

1. Kanye West & Kim Kardashian
2. Plad Pit & Angelina Jolie
3. Jay Z & Beyonce Knowles
4. David Beckham & Victoria Posh


Taja moja tu....

1 comment: