Sunday, February 16, 2014

Tazama Picha na Soma Ujumbe Mzuri na Wakufurahisha wa Valentine Alioutuma Michelle Obama kwa Rais Obama [PICHA]

Michelle Obama ni First lady wa kipekee na aina yake kuwahi kutokea.

Mke huyu wa Rais wa Marekani mara zote hujiachia kwa hisia zake kwa yote anayoyafanya au kuyataka, hata iwe akiwa kwenye jamii.

Alionyesha mapenzi yake ya dhati kwa ujumbe mfupi wa valentine aliomuandikia mume wake, Barrack Obama hapo juzi.

Japokuwa ujumbe ulikuwa ni mfupi, ila ulikuwa ni mzuri, na hasa kwa kuongezwa na picha ziliyoambatana na meseji hiyo. Hakika Rais Obama ni mtu mwenye bahati.

Angalia ujumbe na picha hapo chini;

“Hey Barack, I’ll always be your valentine! #HappyValentinesDay –mo”

No comments:

Post a Comment