Sunday, February 23, 2014

Janet Jackson Apanga Kuachana na Mume Wake Billionea Mwaka Mmoja Baada ya Ndoa?

Kwa mujibu wa habari zilizochapishwa na National Enquirer, zinaeleza kwamba Janet Jackson kwa sasa anajiandaa kuachana na mume wake billionea aitwaye Wissam Al Mana baada ya mwaka mmoja wa ndoa yao.

“Janet yupo tayari kutengana na mumewe,” chanzo kilichofichwa jina kilisema. “amegundua kwamba alifanya kosa kubwa kuolewa na Wissam. Janet ameacha shughuli zake ili awe mke wa nyumbani - na hata alibadili Dini na kuwa Muislamu kwa ajili yake.”

No comments:

Post a Comment