Wednesday, February 26, 2014

Icheki iPhone ya Davido Iliyonakshiwa Vipande vya Dhahabu na Kutengenezwa Maalumu kwa Ajili Yake [PICHA]

Ameshea simu yake ya dhahabu aina ya iPhone kupitia ukurasa wake wa instagram asubuhi ya leo, simu ambayo imetengenezwa maalumu kwa ajili yake.

Icheki simu hiyo kwenye picha hapo chini…


1 comment:

  1. Hahaaaaa!!! Pesa nuksi duniani ila kule mbinguni hakuna hichiii

    ReplyDelete