Tuesday, February 18, 2014

Cheki Picha za Mtangazaji Huyu Alizozipiga Alipokuwa Afrika Kusini [PICHA]

Mtangazaji mmoja maarufu aitwaye Toolz, juzi kati alikuwa nchini Afrika Kusini kwenye sherehe za Channel O Music Awards.

Mbali na mambo mengine mtangazaji huyo alibahatika kumpiga picha msichana mmoja aliyekuwa amevaa nguo iliyombana na kuonyesha alipokuwa akipati kwenye club moja ya Soweto.

Je hivi ndivyo watoto wa Soweto wanavyovaa wanapokwenda club....?

Icheki hiyo picha hapo chini....


No comments:

Post a Comment