Tuesday, February 18, 2014

Wadada, Huu ni Mtindo Gani na ni Nini Kinaendelea Hapa...?

Hata sielewi ni nini hasa kinaendelea hapa.... Ama labda mwanamke huyu ndiye mkuu wa kambi na anahitaji kuwa na uhakika wa wasichana wake kama wako poa kwa ajili ya wanaume wa soko la usiku huu...?

Siku hizi kwa aina ya wanawake zetu kila jambo linawezekana...

No comments:

Post a Comment