Tuesday, February 18, 2014

Muigizaji Huyu Anasema Kuwa Yupo Singo na Pia Yeye ni Bikira [Cheki Picha Zake za Kuvutia]

Huyu sio mwingine ni muigizaji maarufu wa filamu toka nchini Ghana, Yvonne Nelson, mara zote amekuwa ni mtu wa kupenda kuwaburudisha mashabiki wake kwa pande zote iwe ni kwa njia ya runinga au hata nje ya hapo.

Mara zote Diva huyu huwa na kitu cha kuzungumzia, iwe ni kutokana na uigizaji wake mahili, kuposti picha zake kwenye mitandao au hata kwa kuzungumza juu ya mambo yake binafsi.

Posti yake kwenye siku ya Valentine ilimuonyesha akiwa amevaa nguo moja nzuri ambayo watu wengi naamini wataipenda, ila pia kuna wengine wanaweza sema hapana, vyovyote vile ila kwa ufupi ameonekena kuwa poa na vazi hilo.

Kama haitoshi pia aliposti maneno ambayo yaligusa zaidi hisia za watu kuliko hata picha yenyewe, huku akisema kuwa yeye ni bikira, na ni juu yako kufikiria kile unachotaka juu ya hilo.

Hebu cheki picha na maneno aliyoyaandika hapo chini;


No comments:

Post a Comment