Monday, January 20, 2014

Psquare Wanunua Nyumba Mbili za Kifahari Ndani ya Atlanta Nchini Marekani [PICHA]

Wanamuziki nyota toka nchini Nigeria kundi la Psquare wamenunua nyumba mbili mpya ndani ya Atlanta nchini Marekani.
Peter Okoye ameshea picha za nyumba hizo zikiwa zinaonekana kwa ndani kisha chini akaweka maneno haya.....

“@PeterPsquare: Bought ourselves two new homes in Atlanta GA. Thank u Lord. Cc @rudeboypsquare #Buckhead #Hardwork









No comments:

Post a Comment