Tuesday, December 17, 2013

KAMA UNA MOYO MDOGO USIANGALIE PICHA HIZI: Upasuaji wa Mtanzania Akiwa na Madawa ya Kulevya Tumboni Mwake [PICHA]


Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.

Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule
Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili
Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.

Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu

Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo

Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana

Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha

Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo

Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari
CHANZO: Jamii FORUMS

1 comment: