Wednesday, November 06, 2013

Hatimaye Lady Gaga Afunguka Juu ya Kwanini Huvaa Vitu vya Ajabu

Lady Gaga

"Ni vile nnavyoakbiliana na mambo yangu ya kishetani. Toka nilipokuwa mdogonilikuwa na sauti kichwani kwangu, na kwa muda mrefu nlikuwa nakunywa na kujihusisha sana na madawa na ilikuwa ni mavazi na usanii ambavyo viliniokoa."

No comments:

Post a Comment