Tuesday, July 16, 2013

Akon Awataka Wamarekani-Waafrika Wote wa USA Kurudi Afrika

Akon
Mwanamuziki Akon, ambaye kwa namna flani alichukizwa na kitendo cha George Zimmerman kuachiwa na kutokana na kutokutwa na hatiani juu ya kosa la kumpiga risasi na kumuuwa Trayvon Martin mwenye umri wa miaka.

Kutokana na maamuzi hayo Akon kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika ujumbe huo hapo jana, ujumbe  ambao ulizua mjadala mkubwa kwenye timeline yake kutokana na baadhi ya mashabiki kukubaliana naye na wengine wakipinga.

No comments:

Post a Comment