Thursday, May 23, 2013

Ommy Dimpoz Kuachia Wimbo Aliofanya Na J Martin Mwezi Wa Sita

Ommy Dimpoz
Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya Ommy Dimpoz anategemea kuachia wimbo wake mpya mapema mwezi ujao.

Ommy alisema hayo alipozungumza nami leo hii kwenye kipindi cha The Takeover kinachorushwa na TBC fm.

Ommy alisema baada ya jamii ya nyumbani kumtambua, ni wakati wake kuweza kulitanua soko lake kimataifa akiongeza kwa kusema, "Kikubwa watu wajiandae mwezi wa sita ntaachi nyimbo yangu niliyofanya na J Martin" alisema Ommy.

No comments:

Post a Comment