Tuesday, May 07, 2013

Nick Minaj Achojoa Nguo Kwa Ajili Ya Kava La Jarida

Kwenye moja kati ya picha ambazo hukuwahi kuziona, mburudishaji na rappa wa kike toka nchini Marekani, Nicki Minaj anaonekana akiwa amechojoa nguo zake ili aweze kuweka pozi la picha kwa ajili ya Magazine ya King.

Kujulikana wakati mwengine ni poa ila huweza kuvuka mipaka, mwisho wa siku kama mtu maarufu unaweza kujikuta unapaswa kuwa na kitu cha kujibu kwa mashabiki sababu ya ulichokifanya.


Ila ukweli unabaki pale pale, ni hela ndizo ambazo anazohitaji kuingiza ndizo zilizompelekea kufanya hivyo, swali la msingi, je kiuukweli ni nani asiyehitaji hela? Ila je, ni njia gani hasa zinapaswa kutumika kwa msanii au binadamu yoyote kutumika kuingiza hela?

Fanya kuangalia picha hapo chini, Minaj kwenye kava ya jarida la King.....

No comments:

Post a Comment