Tuesday, May 07, 2013

Lady Gaga Atapika Jukwaani Kwenye Onyesho

Kwanza ilikuwa ni kwa Justin Bieber akilalamika kwamba ilitokana na kunywa maziwa mengi, na sasa ni Lady Gaga ambaye alitapika mara kadhaa kwenye jukwaa wakati akiwa kwenye onyesho, hii ni kwa mujibu wa video ambayo imeenea kwenye mitandao.

Je ni kweli kwamba Lady Gaga alikunywa maziwa mengi? Nyota huyo wa muziki wa Pop alitapika mara kadhaa kwenye onyesho lililofanyika jijini Barcelona mwishoni mwa wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment