Wednesday, May 15, 2013

Mtu Afufuka Toka Kwenye Jeneza

Waombolezji kwenye msiba mmoja nchini Zimbabwe walipatwa na mshangao mara baada ya mtu mmoja aliyesemekana kuwa amekufa kuzinduko toka ndani ya jeneza, taarifa toka kwenye vyombo vya habari vimeeleza.
Brighton Dama Zanthe, 34, alikuwa ndani ya jeneza mnamo siku ya Jumatatu mara baada ya kusemekana amefariki nyumbani kwake baada ya kuugua kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment