Licha ya kuwapo kwa matangazo mengi yalitolewa mnamo
siku ya jumanne na Google I/O, kupitia mkutano wa Google, kampuni hiyo
imetangaza watumiaji wenye akauti za G Mail wa mtandao huo watakuwa huduma mpya
ya Google Wallet na Gmail, ikimaanisha kwamba watumiaji wa mtandao wa Google wenye akaunti ya
Google muda sio mrefu toka sasa watakuwa na uwezo wa kutuma hela kupitia E-mail.
No comments:
Post a Comment