Tuesday, April 23, 2013

Msanii Wa Kiganda Aruhusu Washabiki Waguse Nyeti Zake Akiwa Stejini


Hii ni picha ya msanii mmoja wa Uganda akiwa anapafomu jukwaani, gafla aliamua kuchuchumaa ili awape mashabiki wake fursa ya kushika nyeti zake.

Cha kushangaza zaidi, ni pale ambapo msanii huyo kutoonekana kutaka kuondoka haraka mara baada ya hali hiyo kuanza, zaidi tu mwisho wa show alipoulizwa alisema kwamba, alifurahia show na ilikuwa poa na ya kipekee. Unaweza kuamini hilo..?

Kwa wasanii wa hapa Bongo ni msanii gani mwenye kuweza kufanya hivyo..?

No comments:

Post a Comment