Wednesday, April 17, 2013

Mahakamani kwa Kukutwa akifanya NGONO na Kochi (Sofa)

Sofa lenye tundu lililotumika na Streator
Jamaa mmoja ambae ni mume wa mtu aitwae Gerard P. Streator 46, amekamatwa mara baada ya polisi mmoja ambaye alikuwa nje ya kazi kumkuta jamaa akifanya ngono na na kochi alilolitoboa tundu, polisi huyo alimkuta Streator akiwa kwenye pilika hizo kwenye sofa lililolokuwa limetelekezwa.
Streator alifikishwa kwenye mahakama ya Waukesha County Circuit kujibu shitaka linalomkabili, na kama akikutwa na hatia anaweza kupewa kifungo cha miezi minane jela na faini ya dolla 10,000.
 Imeelezwa kwamba ofisa huyo wa polisi alikuwa yupo kwenye matembezi ya jioni, ghafla akaliona sofi likiwa linatingishika.
Alipoamua kulisogelea ndipo alipomkuta Streator akiwa juu ya hilo sofa, huku akiwa ameliparamia juu yake kana kwamba anafanya mapenzi na mtu.
Ofisa hiyo akaamua kusogea kwa karibu zaidi ili kufahamu nini kinaendelea ,  ila ofisa huyo hakufanikiwa kuona kitu chochote kwenye sofa, ndipo alipogundua kwamba Streator  alikuwa mwenyewe na sofa, huku akiwa analishughulikia tundo alilolitoboa.
Ofisa huyo akamshitukiza mtuhumiwa na kumuuliza “unafanya nini hapo?” kitendo kilichomfanya Streator kukimbia ila mwisho wa siku alikamatwa…

No comments:

Post a Comment