Tuesday, April 23, 2013

Beyonce Aonyesha Alama Ya Illuminati Kwenye Video Mpya (Picha)

Beyonce Kwenye Video Ya 1+1
Hakika si habari mpya kwamba watu wengi wanaamini kuwa watu mashuhuri kama Beyonce ni sehemu ya kundi la wanamuziki wanaojulikana kama illuminati.

Kwenye picha iliyochukuliwa kwenye video ya wimbo wa 1+1 iliyopigwa hivi karibuni, kuna kitu mbacho kimeonekana kama ni moja kati ya ishara zao.

Ukiangalia kwa karibu, unaweza kuona kitu ambacho kinafanana na umbo la alama ya pembe tatu (triangle) lenye pembe mbili.

Je labda sababu ni wote huwa tunaona kile tunachotaka kukiona.

Upi mtazamo wako..?

No comments:

Post a Comment