Seng mkazi wa Jiji la Chongqing city, kusini mwa Chini, aliamua kulikabidhi shirika moja la usifirshaji wa mizigo boksi kubwa ili liweze kufika kwa mpenzi wake aitwae Li Wang.
“Ni zawadi gani kubwa zaidi ya kujitoa kwake? Kwa hiyo nikaamua kujipeleka kwa njia ya barua kama zawadi kwake,” alisema Seng.
Alijiingiza kwenye boksi na kumuomba rafiki yake alifikishe, safari hiyo kwa wastani ilitakiwa kufika ichukue dakika 30, ila mzigo huo ulichelewa kufika kwa muhusika na kufika baada ya masaa matatu.
Sijui haya ni mapenzi au balaa, je wewe unaweza kuwa mbunifu na kufanya kitu kama hiki..?
No comments:
Post a Comment