Tuesday, January 03, 2012

Chid Apigwa Stop Kutimba Billz

Msanii wa kufokafoka Chid Benz, amepigwa stop kutimba club za Bills na Much more kutokana na kile kinachodaiwa kuleta vurugu ukumbini humo siku kadhaa zilizopita.
 Mwishoni mwa wiki hii Chid Benz, alifika club Much More lakini alitolewa nduki na mabaunsa, ambapo alitakiwa atoke na asionekane tena Billz ama Much more kwani hawataki kumuona kutokana na ukorofi wake.

No comments:

Post a Comment