Friday, September 05, 2014

Huu Hapa ni Ujio Mpya wa Samsung na Kitu cha Galaxy Note Edge [PICHA]

Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, hapo jana Samsung walizindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note ambayo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge.

Simu hii ina kioo kilichojikunja tofauti na flat screen tulizozoea, kwa sasa hii ndio highest end phone kutoka Samsung.

Picha zaidi hapo chini..


Note Edge ina sifa zifuatazo, inaelekea kufanana kiasi na ndugu yake Note 4. Yenyewe ina metallic design, It has the same soft-touch back, blissfully without the fake stitching. Ina kamera yenye 16-megapixel, heart-rate monitor, processor, memory, software, Multi Window feature, kila kitu kama ndugu yake note 4.

Kwa sasa hii ndio simu kutoka samsung yenye nguvu kuliko simu zote. Ina Quad HD, 2560 x 1440 display kama kwenye Note 4, Ila hii kioo chake ni kidogo kidooogo ambayo ni inchi 5.6 tofauti na 5.7 ya note 4.

Chanzo: Jamii FORUMS

No comments:

Post a Comment