Picha ya satellite toka Tomnod, mtandao wa ramani unaotumiwa na mamilioni ya watumiaji wa mitandao katika kuitafuta ndege iliyopotea ya Malaysia MH370, inaonyesha ndege hiyo ya abiria ikiwa juu ya pori.
Picha hiyo inaonekana kuonyesha ndege ya Malaysian MH370 ikiwa angani chini ya usawa wa pori ikionekana kuwa na rangi nyeupe.
Picha hiyo imechukuliwa toka Tomnod, ambao ni mtandao unaotomika kwa ajili ya kutafuta ramani ambao kwa sasa unatumiwa na maelfu ya watu katika hali ya kuitafuta ndege hiyo ya abiria, ilitolewa kwenye kwenye mtandao wa Reddit mnamo siku ya Jumapili.
Ukweli juu ya picha hiyo bado haujatolewa na mamlaka husika.
Inachanganya: Picha hii imechukuliwa na wanafunzi wa chuo cha nchini Taiwan
No comments:
Post a Comment