Mama yangu ana mvuto, mwenye kupendeza akiwa anavaa kwa fasheni za sasa. Hivi karibuni, nimekuja kugundua kwamba mume wangu mwenye umri wa miaka 39 amekuwa akifanya mapenzi na mama yangu na hii ilianza katika kipindi alipokwenda kuhudhulia mkutano uliofanyika karibu na anapoishi mama yangu. Siku moja yeye kwa binafsi yake aliniambia, ila niliipotezea kutokana na ukweli kuwa sikuona kama alikuwa anamaanisha kweli.
Mume wangu ni mwanaume mzuri ambaye tumebahatika kupata watoto wawili huku akiwa ni mtu wa kuwajali kwa kila hali, na pia ni mtu ambaye amekuwa akinisaidia na kuniangalia mimi kwa kila kitu. Najua ilitakiwa kuwa niwe nimekasirika, sababu nimesalitiwa kwa kiwango kikubwa sana, ila siwezi, anasema kuwa anafurahia mahusiano yake na mama yangu na anaweza kuacha nae kama ndicho nikitakacho.
Kiukweli, kama mama yangu na mume wangu wanafurahia mahusiano yao, sioni kama nina nguvu ya kukasirika na kuwa na wivu. Hivyo swali langu ni: Je hii ni kawaida aua kuna nguvu za giza? Nifanyeje jamani je nahitajika kukasirika?

No comments:
Post a Comment