Tuesday, February 18, 2014

Kim Kardashian Apagawa Kuingoja Ndoa Yake na Kanye, Cheki Alichoposti Kwenye Instagram [PICHA]

Nyota huyu wa vipindi vya uhalisia toka nchini Marekani anaonekana kuwa ametekwa sana kimawazo na akili juu ya ndoa anayotegemea kufunga na rapa Kanye West.

Hebu cheki alichoposti kwenye Instagram hapo chini...

Mama wa mtoto mmoja alituma picha hii kwenye ukurasa wake wa Instagram huku akiandika ujumbe uliosema "Ndoto Huja Kuwa Kweli".

Ikumbukwe tu kuwa wawili hawa walichumbiana mwaka jana kwa mishangao ya haja toka kwa Kanye West, kwenye tukio lililofanyaka pande za At&T Park ndani ya San Francisco.

No comments:

Post a Comment