Sunday, December 08, 2013

Wavulana wa California Wameanza Kuongea Kama Wasichana - Uchunguzi


Vijana wengi wa kiume kwenye jimbo la California wameanza kuongea kama wasichana, kwa mujibu wa uchunguzi mpya.

Wataalamu wa lugha wanaamini kumekuwa na ongezeko la  wanaume kuongea 'kwa sauti ya juu' mwishoni mwa sentensi kama vile wanauliza swali.



Wavulana wengi wanaanza kuongea kwa sauti ya juu kuelekea mbele, aina ya uongeaji ambao wanawake hutumia kuongea, hii ni kwa mujibu wa somo hilo.

No comments:

Post a Comment