Friday, December 20, 2013

Mcheki Mtoto wa Cristiano Ronaldo Siku Ambayo Baba Yake Alizindua Makumbusho [PICHA]



Mshambuliaji wa timu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo hivi karibuni alifungua makumbusho kwa heshima yake, ambayo amesema ina vyumba vingine ambavyo vitajazwa na makombe ya baadae.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 siku ya uzinduzi huo alifika na mtoto wake mwenye umri wa miaka 3, aitwaye Cristiano Junior.





Kwenye makumbusho hayo ndani yake kuna tuzo na mataji ya Cristiano, jezi na kila kitu kinachomuhusu yeye katika maisha yake ya kwenye mpira wa miguu.

No comments:

Post a Comment