Saturday, December 07, 2013

Familia Yapanga December 15 Kuwa Siku ya Kuzikwa Mandela



Kiongozi mpinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Nelson Mandela atazikwa mnamo siku ya Jumapili, December 15, nyumbani kwo Qunu, na ibada ya kumuombea itafanyika kwenye uwanja wa Johannesburg mnamo siku ya Jumanne, December 10, Rais Jacob Zuma ametangaza.
Mwili wa Mandela utakuwa kwenye majengo ya Serikali ndani ya Pretoria kuanzia siku ya Jumatano, December 11, mpaka siku ya mazishi, na Jumapili hii ya December 8, itakuwa ni siku ya kitaifa ya kumuombea.

No comments:

Post a Comment