Ommy Dimpoz |
Ommy alisema hayo alipozungumza nami leo hii kwenye kipindi cha The Takeover kinachorushwa na TBC fm.
Ommy alisema baada ya jamii ya nyumbani kumtambua, ni wakati wake kuweza kulitanua soko lake kimataifa akiongeza kwa kusema, "Kikubwa watu wajiandae mwezi wa sita ntaachi nyimbo yangu niliyofanya na J Martin" alisema Ommy.
No comments:
Post a Comment