Thursday, May 23, 2013

Maisha Ni Watu Ya Msanii Vumbe (VIDEO)

Vumbe Wa K Town
Umeshawahi kuiona Video ya Wimbo wa Msanii wa Kizazi Kipya Vumbe uitwao Maisha Ni Watu... Video iliyotengenezwa na Usanii Experts chini ya Director David Shija a.k.a Mzee Wamikito.
 
Kama bado huu hapa....

Umeionaje...? Toa Maoni Yako......

No comments:

Post a Comment