Ni aje wadau, ni kawaida kwa sisi Watanzania na Waafrika kwa ujumla kuwa tunapenda ama ni kawaida kwetu kula vyakula vya asili ya wazungu.
Hakika ni jambo kidogo la kushangaza pale unapomkuta mzungu anakula ugali, naomba tu ieleweke kwamba haina maana kwamba wazungu hawajawahi kula ugali, hapana, maana yangu inakuja na swali, hivi ni lini au mara yako ya mwisho ni wapi ulipata bahati ya kumuona mzungu akiwa anakula Ugali..?
Picha hii, hakika ni ya ukweli na inafaa kuwekwa kwenye maktaba yetu.....
No comments:
Post a Comment