Monday, May 13, 2013
Mwanaume Ajipandikiza Matiti Na Kuvaa Kama Mwanamke Ili Asirudi Jela
Mfungwa mmoja aliyetoroka nchini Colombian amekamatwa tena na safari hii amekutwa akiwa amepandikiza matiti katika kile kinachosemekana kutaka kujibadilisha ili asirudishwa tena jela, polisi wamesema.
Giovanni Rebolledo - mnamo mwaka 2012 alifungwa miaka 60 jela kwa makosa ya kutekanyara, ubakaji na utapeli, ndipo alipoenda kujibadilisha kwa kufanyiwa upasuaji kisha kujiita 'Rosalinda.'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment